Recent content by left eye

  1. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la kukosa hedhi

    asante sana
  2. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tatizo la kukosa hedhi

    Tulipoteza mtoto wa miezi 8 iliopita, mke wangu wakati ananyonyesha alikuwa hapati hedhi (najuwa ni kawaida ) ila hivsasa hanyonyeshi miez 8 sasa ila hedhi imegoma kutokea kabisa. Imesemwa kuwa ni tatizo la homon na akapewa vidonge vya kutumia mwez mzma lakin hakukuwa na unafuu. Nilimpa dawa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    tutashkuru sana
  4. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    asante sana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    nashkuru sana kwa elimu hii mkuu ,atlist nimepata dondoo za kilichomuua mwanangu ,je homa ya mapafu kwa watoto waliochini ya miaka 5 haina chanjo
  6. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    nashkuru kwa maelezo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    nashkur sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    nashkuru kwa maelezo mazur ,alikuwa na miez 8 na hal ilimpata alipokuwa akinyonya ndipo ghafla alipotapika maziwa hal ikachange
  9. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    kuhus kuona dalil yyte ya pnemonia au kuumwa chochote hapana kwakwel alikuwa normal tu ,zaid vimafua kidg ,ktk uhai wake hakuwah kuumwa hata homa au joto kupanda ht siku moja zaid ya wakat ana miez 5 alikohoa siku mbili na mafua tukampa dawa na akakaa sawa ,ila siku alipozidiwa tupo pale...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    tunashkuru
  11. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    nashkuru kwa maelezo mazur ,sikuio aliamka vizur tu ndipo mamake alimkalisha kumnyomyesha mara ya kwanza akanyonya vizur ,mara ya pili akajitahid kuvuta maziwa akashindwa akayarusha dizain ya kutapika ,toka hapo hal ikachange akawa anapumua kwa shida sana ,na mara chache akawa anatoa milio kama...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    ni kwel kifo kilifika lkin pale hospital ya magereza aliteseka sana imagine lisaa lizima watu sita wanahangaika kutafta mshipa hawauon wameishia kumnyoa nywele na wakaogopa kumchoma sindano ,oxygen hawana inauma sana
  13. L

    JamiiForums Tanzania Neumonia inaweza kumbana mtoto ghafla bila dalili?

    Asante kaka nimekubal maamuz ya mungu juu yake
Back
Top Bottom