I have lost faith in this current government and it's cabinet. I feel very unsafe financially, sirikali inakukamua mpaka inakufanya maskini kwa Tozo ambazo huoni matokeo yake..
Makusanyo ya kodi za Umeme, Mafuta, Maji, Majengo, Ushuru wa Bandari na mipaka ni makato ambayo yana uwezo wa kuinua...
UTANGULIZI
Africa ni bara lenye Rasilimali za kutosha ambazo wazungu huzitumia kutokana na kwamba sisi watu wa Afrika tumeshindwa kuona umuhimu wake na mwishowe wanatengeneza bidhaa na kuzitumia wao na zikisha poteza thamani basi hurudisha Afrika na kutuuzia uchafu wao na kusema ni Imefanywa...
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi inayo pokea bidhaa nyingi sana ambazo si halali kutoka kwa watengenezaji bidhaa hizo kama vifaa vya umeme na nyenzo za kazi.
BIDHAA ZISIZO HALISI
Bidhaa nyingi zinazo ingia nchini kutokea China na maeneo mengine ulimwenguni asilimia kubwa sana huwa ni bidhaa zisizo...
UTANGULIZI
ELIMU YA TANZANIA
Elimu ya Tanzania ni elimu ya kumjenga mwanafunzi kitaaluma ila sio kujitegemea. Asilimia kubwa sana ya wanafunzi wa Tanzania hawatumii elimu waliyo ipata katika masomo yao kujinufaisha katika maisha baada ya kuhitimu elimu katika ngazi yoyote ile.
Elimu ya VITENDO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.