Recent content by ledson

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi gani ambayo inaajira kwa baadae?

    sawa bro tell me more
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi gani ambayo inaajira kwa baadae?

    Nko mkoa wa iringa na nnapenda sana kusoma compyuta na kuhusu gharama nadhan ntaziweza ila ningependa kujua coz zitakazo kua na ajira zaidi.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi gani ambayo inaajira kwa baadae?

    Xo kla alnfeli alikua hasikilizi wengne inaweza ikawa ni matatizo yanayo harib xaikolijia kama mimi!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kujichua/puli ( musterbetion)

    Gharama nyngne bhana!haya watakuja
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nisome kozi gani ambayo inaajira kwa baadae?

    Jaman magreat thinkers ninaombeni msaada wenu. Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na kwa bahati mbaya nimepata 4 ya 32 na inanipasa kwenda chuo sio form 5. Je ni kozi gani itakayo kua na ajira hapo badae?
Back
Top Bottom