Recent content by ldcecane

  1. ldcecane

    JamiiForums Tanzania Nyuzi za Mkonge

    Heshima kwenu wakuu. Ninahitaji kununua nyuzi za mkonge kutoka mkoa wowote uliopo karibu na Dar es Salaam. Naomba anayejua kiwanda kinachozalisha nyuzi hizo au wakulima wanaouza nyuzi hizo na bei kwa kilo moja. Asanten sana.
Back
Top Bottom