Recent content by Lazam Emanuel

  1. L

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu ajira za Jeshi la Magereza

    Wana jf naombeni msaada wenu ivi barua za maombi ya kazi zilizotangazwa na jeshi la magereza inatakiwa kutype au kuandika kwa mkono. Nauliza ivi mana hawa waajiri huwa wanatafuta sababu zisizo na msingi
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya uchumi, natafuta kazi

    Ndugu zangu wana jf hali mbaya naomba nafasi ya kujitolea mkoani mbeya. Nina shahada ya uchumi. Please msaada wenu wana jf
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kujitolea mkoani Mbeya

    KAKA YAKO NAPITA nimekutafuta hapo jiji nimeulizia jina ulilontajia hapo upande wa uchumi wakadai hamna mtu anaeitwa Mashiku, cjiu utanisaidiaje?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kujitolea mkoani Mbeya

    nashukuru brother, jumatatu mapema nafika hapo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kujitolea mkoani Mbeya

    Natafuta nafasi ya kujitolea mkoani mbeya, nina shahada ya uchumi. Naombeni ushirikiano wenu wana JF
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kufundisha mkoani Mbeya

    Natafuta kazi ya kufundisha economics A.Level au college
Back
Top Bottom