CHOZI LA MDOGO WANGU
Na Layman Donsu
UTANGULIZI...
Ijapokuwa huzuni, kitakapopita kicheko.. Umasikini ukiweka kambi katioka malango yako.. Ama pepo la uatajiri likikupitia, iwe kwa ugumba ama kwa maradhi mshukuru yeye aliye juu, kwa maana yeye ndiye anajua kwanini ananakupitisha katika hayo...