@sawima naskia sku Hz Kuna booster kama vile supergro na nk. ambazo zinaongeza mavuna Ila sjawah tumia lkn kwa uzoefu wangu wa kulima dengu 1 hekta Inatoa Gunia 5 had 7 upande wa Bei 2000 had 4000 hii Bei huwa inakuwa kubwa hasa vijijin pind msimu wa kulima unapofika huwa debe linauzwa Hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.