Siye wengine mishe zetu tunazipata kupitia hapo hapo kijiweni. So kila mtu aafanye anachokiamini. Acha sisi tuendelea kubaki kijiweni maana hapo ndipo tunapopata vibarua vidogovidogo vya kusukuma siku
Hizi Kazi bila ubabe haziendi. Mabosi wengi michosho malipo hawafanyi kwa wakati. Acha tu ndugu tuishi tu hivo hakuna jambo linalodumu yote yataisha tu
Kwahiyo unataka kuniambia nitateseka mpaka kufa kwangu! Siyo? What do you want from! I got this life , na ni jukumu langu kuhakikisha nina fanikiwa no matters what![emoji1488]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.