Recent content by Larie

  1. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Hakuna anayenijua wala kumjua mume wangu,hivyo it doesn't cost anything, hii ni social media Inasaidia kushauriana na watu atleast unapata relief, then maamuzi ya mwisho nitaamua Mwenyewe!
  2. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Kama uliona kelele umeisoma ya nn si ungepotezea mxuuuuuuu!
  3. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Nashukuru san a kwa ushauri wako!
  4. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Nonsense! Ndio sababu jamii forum imekuwepo na tambua sasahivi upo kwenye forum inyohusu nini! Kama huna cha kushauri it's better ukapita tu.
  5. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Nipe mwaya labda itanisaidia!
  6. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Ni degree holder wa biashara, hivyo UAE unauliza vizuri kabla ya kukurupuka kujibu.
  7. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Wakati tunaoana alikuwa na kazi ila alifukuzwa katakana na kutoelewana na boss wake
  8. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Yaani nimeshamueleza sana lakini habadiliki, mbaya zaidi ukimueleza hakujibu chochote au kuonyesha imemuuma na yy,Kama nw Nina stress siongei kitu naye basi nae ameuchuna yaani full kisirani ndani sijui nimbebee mbeleko gani abebeke!
  9. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Sass huo mtaji ataupata wapi, wakati mwaka na zaidi sijawahi kuiona cent Yake, Nahofia hasije kuishia kuwa tapeli au jambazi bure
  10. L

    JamiiForums "Hadi KIFO KITUTENGANISHE" Nitaweza kweli kwa hizi stress!!!

    Nipo ndani ya Ndoa 2 yrs nw. Mume wangu hana kazi ni mwaka mmoja na miezi 9 sass,Tuna mtoto wetu mmoja na depend ants wawili, hivyo tukakubaliana nikope ofisini tufanye biashara azisimamie ili awe busy na tusaidiane kutafuta riziki. Nikakopa Zaidi ya million 10 tukafanikiwa kufungua biashara...
Back
Top Bottom