Recent content by lara 1

 1. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Swala la yeye kuja lilinitia hofuuuu sanaaaa! I really wanted us to work out! All my fears came back! Just like that! Ujasiri mpya nilio ujenga ukayeyuka ghaflaaa! Shetani akaninyemeleaaaa upyaaaa Na kuchukua Godoro kunilala kichwaniii! Ananikumbusha HOW MANY TIMES DID YOU TRY YOUR BEST AND...
 2. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Lazima nijeee! Nimekujaaa
 3. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  THE FROG PRINCE! Jamani huyu kichwa kibovuuuu ni Frog prince! Yaaani personality yake, matamshi yake, mambo mambo yake he is always boasting, so arrogant, so irritating! Hata kama sio mtu wa kusoma watuuuu huitaji mganga apige ramli kujua he is nothing but a looser! Bora kujiunga Na triology...
 4. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  NDUGU WABEBA BOX NAWAOMBAAA KIUTU UZIMAAA MNINUNULIE IPHONE 13 KIBINGWA TU!!!! Mwenyewe Nina $400 Zipo Tayari huko USA kwa ndugu yangu! Imekasoro hio 1000 tuuu! Kiukweliiii navowatoa tongo tongooo Saa 9 usiku hiii mnawapa wasupuuuuu wa humu mimi mnaninyimaaaa? Naahidi nitakuwa naleta story...
 5. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Dini ni nyepesi sanaaa! Ila ni nzitooo! Lara 1 na bible zake alikuwa ananivurugaaaa tu vuuu! Kweli kabisaaa ndugu msomajiiii unaweza amini kwamba mimi WOTP naweza samehewa na Mungu! Na Mungu bado akanipendaaaa serious kabisaaaa! Baada ya kutumikia utawala wa shetaniii ngazi zoteee mpaka zile za...
 6. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  BAADA YA KUBEMBELEZAAAA SANAAA SANAAA! NA KUMUOMBA MR. DIPLOMATIC ( passport Nyeusi dada) ruhusaaa Na kumwambiaaa ni muhimu kumaliza hiii story leooooooo ndo kanipa go ahead! THE STORY IS WORTH IT!!!! Mda wowote naendelea kabla ya saa 6 usiku!
 7. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  ITS ABOUT TIME! To tell it all! Niko hapa kukuandikia exclusive! Sijapendaaa kabisaaaa uondolowe kileleni kinyonge namna ile! TELL IT ALL! TELL US EVERYTHING! EVERY DAMN THING! ...... Tutangoja huu Ubuntu wako mpaka lini! It’s almost years! How much longer will you fathom the grief! Dawa yao...
 8. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Nambembelezaaa waaapi! Hata simu hataki kupokeaaa! Heheheee!
 9. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Kweli but this is not on me!
 10. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  SORRY GUYS WOTP AMEGHAIRI KUENDELEA NA HII STORY! Nime Ngoja siku 2 hizi labda ataghairi ila amekazaaaa! Design Kama Mbeba box ame Anza ku connect dots! ( watu humu punguzeni wanga Jamani!)
 11. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Kiukweliii baada ya dogo roho iliniumaaaa sanaaaa! Mnoooo mnoooo! Manake every time I balme everybody except me! Sawa ni Yatima! Kweli Kuna mambo yalitokeaaa kimaishaaa yaka nioneaaaa! Ila Kuna mambo ni blander zangu mwenyweee! Sio bureeee nimelogwaaaa mimi! Na alienilogaaaa kafaaaa! Why in the...
 12. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Leo ndo GRAND FINALE
 13. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Wapiiii mi na shoga a hi wema mayai tulilia chips kitambooo!
 14. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  MIDA ya wanga Kama kawaidaa
 15. lara 1

  Weekend story: A Woman of the people

  Analipaaa nani? Mambo kama story ya Leo sitakiiii
Top Bottom