Recent content by laowai

  1. L

    Biashara za China au Thailand

    yes mkuu hiyo bei ni kwa kilo
  2. L

    Biashara ya kambakochi, China

    kambakoch aliye hai ndio anapendwa sana china. unahitaji uwe na mitambo mizuri ya kuwaanda kable ya kuwasafirisha, pili inabidi uwe na vibali vyote vya kusafirisha na uwe makini kwenye kuchagua shirika la ndege la kuwasafirisha maana wakikaa sana wakapata joto wanaanza kufa. kwa upande wa bei...
  3. L

    Biashara kutoka China

    wasikuvunje nguvu ndugu, hiyo biashara inalipa sana. kwanza nakupongeza kwa kuwa umejipanga vizuri. yaani umetafuta wahitaji wa bidhaa yako kabla ya kununua, nadhani wengi wanahitaji kuiga mfano wako. kuhusu stationery china na kwa hela uliyonayo unaweza kuanza vizuri tu na ukipata supplier...
  4. L

    Biashara za China au Thailand

    mi ntaongelea kwa china coz thailand sina utaalam nako. kwa china utapata mchele grade yoyote na tani zozote unazotaka bei inaanzia yuan 1.2 ambayo ni kama tsh 300. kuexport container ya 20ft hadi bongo ni average ya dola 2000 inategemea na shipping line. ila kama una mzigo mkubwa ni bora...
Back
Top Bottom