Recent content by lamwija

  1. L

    Opa inauzwa bei Poa

    hakuna lisilowezekana chini ya jua, njoo tuzungumze tu sisi sote ni watanzania naamini tutaelewana
  2. L

    Opa inauzwa bei Poa

    Nauza Opa ni ya mwaka 2000 imesajiliwa mwaka jana mwezi wa tano, namba ni BZ.......haina matatizo kabisa KM reading ni 75,000 KM bei 9.5 Mil. Dalali anapendwa ila haitajiki kwenye hii biashara. NO. yangu ni 0653 555351
  3. L

    Nahitaji gari la kununua

    Kama una vitz au corolla ya mwaka kuanzia 2000, 2001...... na kuendelea juu tuwasiliane, iwe na km chini ya 100,000 na iwe katika hali nzuri. bei isizidi 7Mil. no yangu ni 0755 555351. Naomba kuwasilisha.
Back
Top Bottom