Recent content by Lamaar

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nalia na bodi ya mikopo[heslb]

    Jaman tuko pamoja ila me hata nauli ya kuja huko dar cna..! Ni zaidi ya laki moja afu wananiambia nikajisomeshe fees mil 1.5 bado meals na accomodation.! Hili ni janga la jamii
  2. L

    JamiiForums Tanzania Heslb:mkopo mkopo mkopo mkopo chungulia apa uone....!!!

    Inauma,me nilisoma private kwa wazazi wangu kuuza ardhi,nikamaliza 2010 nikaomba mkopo wakabana, nikapostpon e chuo,nikaaply tena mwaka huu wakagoma eti NOT SECURED...! Sasa ntafanyaje na kuna wadogo zangu wananitegemea japo niwasaidie kwani hamna cha kuuza tena.! Hivi kweli elimu ni ufunguo wa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tarehe 02.10 tena frm HESLB TO WIZARAN MPAKA KIELEWEKE

    Pga mishe 2ko weng waliokosa,hao jamaa washakula ela yangu mingi xna afu cpati kitu
  4. L

    JamiiForums Tanzania From h.e.s.l.b to wizara ya elimu

    2po pamoja xna tupeane taarifa, wengine 2po mikoani
Back
Top Bottom