Recent content by lajuj

  1. lajuj

    mashine ya sabuni ya mche inauzwa

    wow nashukuru hata hivi nishabadilisha somo toka tengeza kwenda neno zalisha thnxs once again.
  2. lajuj

    mashine ya sabuni ya mche inauzwa

    hebu chek profile yangu utaona picha ya mashine bei ni 6 million namaongezi yapo kidogo
  3. lajuj

    mashine ya sabuni ya mche inauzwa

    hebu chek profile yangu utaweza kuiona mashine plz
  4. lajuj

    mashine ya sabuni ya mche inauzwa

    ndugu yangu nilishindwa kuiendesha mashine kumbe inahitaji mtaji mkubwa kwajili ya raw material kama mafuta, dawa na maboxi lkn mshine ina uwezo wakuzalisha box 150-250 kwa siku kulingana na material utakayokuwanayo ila mashine ipo kwa musuguli mbezi.
  5. lajuj

    palm oil au mawese na cotton oil

    nahitaji mafuta aina ya mawese (palm oil) na na mafuta ya pamba magwanji na bei gani kwa pipa nijuze kwa haraka sana .
  6. lajuj

    mashine ya sabuni ya mche inauzwa

    nauza mashine ya kukamua sabuni ya mche inatumia engine ya diesel 20hp. Ukiwa na mashine hi utaweza zalisha aina yoyote ya sabuni ,wasiliana na mi.
Back
Top Bottom