Recent content by ladykiokote

  1. ladykiokote

    Ushauri pls

    Ubarikiwe, mawazo mazuri sana.. asante mno
  2. ladykiokote

    Ushauri pls

    How much is boda moja
  3. ladykiokote

    Ushauri pls

    Yeye anaishi mwanza
  4. ladykiokote

    Ushauri pls

    Mi kuna point napata i hopr na yeye atanielewa na anasoma atachagua asuke ama anyoe, nawashukuru mno wapenz wangu
  5. ladykiokote

    Ushauri pls

    Asantr lkn she wants to do something isipokuwa hana idea nzuri na anaogopa kupoteza pesa hizo bila faida
  6. ladykiokote

    Ushauri pls

    Pls msaidie idea ya aina ya biashara anazoweza kufanya. Ntashukuru sana
  7. ladykiokote

    Ushauri pls

    Kama biashara gan.. mfano pls
  8. ladykiokote

    Ushauri pls

    Asante kwa ushauri mzuri pia, kwa muono wako ni biashara gan ndogo anayoweza kuanza kwa milion tatu....
  9. ladykiokote

    Ushauri pls

    Thanks uso
  10. ladykiokote

    Ushauri pls

    Asante eli79 appreciate
  11. ladykiokote

    Ushauri pls

    Thanks kwa ushauri mzuri
  12. ladykiokote

    Ushauri pls

    Duh hapo pagumu
  13. ladykiokote

    Ushauri pls

    Sio lazima nyumba iishe kwa milion nane at least aanze tu
  14. ladykiokote

    Ushauri pls

    alifikiria pia kuanzisha biashara ya kukopesha watu pesa,arudishiwe kwa riba... mnalionaje hili wazo wapeni
  15. ladykiokote

    Ushauri pls

    Aliwahi fanya biashara ndogo kipindi cha nyuma, alikuwa anauza vitu vya wtt ikiwemo nguo na vifaa vya ww from birtj mpaka 14 years, lkn biashara ikamshinda akafunga duka so ana experience ya biashara kias fulan.
Back
Top Bottom