Pikipiki aina ya sunlarg, cc 125-5, imetumika kwa miezi 8 tu,. Imesajiliwa kwa muundo wa sasa wa MC, haidaiwi kodi, adi mwezi January.. Iko imara sana kwa matumizi ya Bodaboda na nyumbani. Bei ake sh. 1,200,000.. Mawasiliano ni 0682665574 au 0765054826. Changamkia fursha tusonge mbele kijana...