Recent content by LADOAL

  1. L

    Nahitaji kazi ya Muda kufundisha Economics, Geography

    Hello members, nimeahirisha masomo kwa semester ya mwisho kwa sababu za kifedha, naomba connection kwa shule yenye kufundisha masomo ya biashara na uchumi, nipo Moshi. Nimejaribu njia zote na ninaamini pia hii ni njia ya kutafuta cha kufanya
Back
Top Bottom