Recent content by lackg

  1. lackg

    JamiiForums Tanzania Waziri Jaffo (TAMISEMI) aagiza kila Mkuu wa Mkoa kujenga viwanda vipya 100

    Ngoja na mimi nikanunue cheteani nne
  2. lackg

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    Umasikini walionao hawa wachumia tumbo wa Lumumba ni uwezo wa kujibu hoja, unaitukana dini kwa vile taasisi ya dini imemsema mkulu! wakati huo huo huyo boss wenu mnayemtii kama nyampala anataka aombewe na viongozi hao hao unaowashabulia kwa kulinda mkate wako.... SHAME,
  3. lackg

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Kwa hand writing yako inafanana na akili zako, kajifunze kwanza kuandika kiswahili ndiyo uje humu.
  4. lackg

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Kaka unapata tabu bure kumuelewesha hawa watu wanaofikiria kwa kutumia matumbo huwa hawaelewi, hata kama uo unyama angekuwa anafanyiwa mama yake mzazi bado angekuwa upande wa utawala huu dhalimu wa kutesa watu.
  5. lackg

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Hii nikuu Polepole alipoisoma moyo umedondosha chozi......
  6. lackg

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Ili mfumo wa ukusanyaji wa kodi uwe endelevu; jitihada za kukusanya kodi ziendane na elimu kwa mlipa kodi. Msisitizo wa uzalendo wa kulipa kodi uende sambamba na ustawi wa walipa kodi katika shughuli zao za biashara. Mivutano isiyo na tija kati ya walipa kodi (wafanya biashara) na mamlaka ya...
  7. lackg

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazipelekea barua balozi za Marekani na Ujerumani kuhusu tuhuma za Musiba kwamba zinaihujumu Tanzania

    ..... baba yangu ni babu yako kuwa na heshima kwa wazazi wako.
  8. lackg

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yazipelekea barua balozi za Marekani na Ujerumani kuhusu tuhuma za Musiba kwamba zinaihujumu Tanzania

    Kuliko hawa nzi wa kijani wanaoshinda wanaomba mikopo ya miradi huko kwa wazungu
  9. lackg

    JamiiForums Tanzania Urambo: Polisi wamewazuia Viongozi wa ACT Wazalendo kukagua miradi ya maendeleo na kusema miradi yote ni ya Serikali

    Kuna tofauti kati ya police na takataka....
  10. lackg

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango aiomba Benki ya Dunia mkopo wa Dola 150 milioni za Marekani ili kuchochea ukuaji wa uchumi

    Duh... awamu hii tutaona mengi, ............Pamoja na ukuaji mzuri wa uchumi, Taifa bado linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwamo ukosefu wa ajira kwa vijana, kiwango cha umaskini bado kiko juu, ukuaji mdogo wa sekta ya kilimo na kupungua kwa mikopo ya benki za biashara kwa sekta...
  11. lackg

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Kichwa cha treni kilichookotwa bandarini ndio kimepata ajali Kigoma. Hivi kumbe walishanunua kimya kimya?

    Utaonaje wakati njaa na unafiki vimekupofusha.....
Back
Top Bottom