We unatakiwa kushitakiwa, umepata wapi hela za kununulia nyumba ya aghali kiasi hiki? Kwani kazi ya uwaziri unamuda gani nayo? Nchi za ughaibuni we ni kitanzi tu.
Kaka hiyo nyumba yako unauhakika utakaa humo muda gani? Watanzania ni masikini sana, we umepata wapi hizo pesa za kununua mjengo huo? Au ndo usemi wa kila mmoja atakula kwa jasho lake? Lakini we umetoa jasho gani na hali tumepata taarifa kuwa unatumia ofice yenye kiyoyozi na una drever...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.