Haya Wabongo nataka kujenga nyumba kama hiyo Tanzania mnaseamaje?

62864_151861984853857_117359528304103_255482_3452302_n.jpg
Nina kiwanja changu vijibweni nataka kujenga nyumba kama hiyo Mnasemaje? wabongo? itakuwa na thamani ya dola laki 5.

kaka MziziMkavu unajua kuwa vijibweni palishauzwa au unataka kufa kwa presha tu..
 
Last edited by a moderator:
Kaka hiyo nyumba yako unauhakika utakaa humo muda gani? Watanzania ni masikini sana, we umepata wapi hizo pesa za kununua mjengo huo? Au ndo usemi wa kila mmoja atakula kwa jasho lake? Lakini we umetoa jasho gani na hali tumepata taarifa kuwa unatumia ofice yenye kiyoyozi na una drever anayekuendesha? Pia hata shamba japo la mfano tukuone umelima hauna? Kwanza umenikwaza, we ni fisadi naagiza vyombo vya ulinzi na usalama wa watanzania vikuchunguze kisha vikijirizisha ujetumia hela za watanzania vikukamate. Kudadeki chekishia uchunguzi huo miaka nakenda, ila kama ni kuwakamata wa matching guys ni within a day no need ya uchunguzi, tz tutafika kweli?
 
We unatakiwa kushitakiwa, umepata wapi hela za kununulia nyumba ya aghali kiasi hiki? Kwani kazi ya uwaziri unamuda gani nayo? Nchi za ughaibuni we ni kitanzi tu.
 
angalia usije ukapewa jina la kisasa
@TWIZAMALLYA Wanipe Jina gani Mkuu Fisadi? haahah na wanipe tu hilo jina si pesa ni zangu tu.

Kwani una kadi ya CCM?
@Mateka Niipate wapi kadi ya Magamba?

Si niya kwako? sasa inatuhusu nini sisi waTz?
@Shine wewe si ungeangalia tu picha na kupita tu kama gari bovu. Acha wivu huo mkuu.

Kaka hiyo nyumba yako unauhakika utakaa humo muda gani? Watanzania ni masikini sana, we umepata wapi hizo pesa za kununua mjengo huo? Au ndo usemi wa kila mmoja atakula kwa jasho lake? Lakini we umetoa jasho gani na hali tumepata taarifa kuwa unatumia ofice yenye kiyoyozi na una drever anayekuendesha? Pia hata shamba japo la mfano tukuone umelima hauna? Kwanza umenikwaza, we ni fisadi naagiza vyombo vya ulinzi na usalama wa watanzania vikuchunguze kisha vikijirizisha ujetumia hela za watanzania vikukamate. Kudadeki chekishia uchunguzi huo miaka nakenda, ila kama ni kuwakamata wa matching guys ni within a day no need ya uchunguzi, tz tutafika kweli?
@L.N. MWAKISALU Tanzania Ukiwa Waziri au Mbunge au Mchungaji hapo kwetu Tanzania unazipata Pesa je nikiwa nje ya nchi siwezi kuzipata hizo pesa? mkuu unauliza jibu? nimezipata kwa viongoızi Mafisadi oyeeeeeee

We unatakiwa kushitakiwa, umepata wapi hela za kununulia nyumba ya aghali kiasi hiki? Kwani kazi ya uwaziri unamuda gani nayo? Nchi za ughaibuni we ni kitanzi tu.
@L.N. MWAKISALU wewe utanishitaki wapi? Umeona wapi Mtu akiwa na pesa zake akashitakiwa? nina Advocate 5 sasa utaweza kunishitaki? Kawashitaki wale walioiba pesa za Rada na Kashfa ya Richmond na kashfa ya EPA kama unaweza kuwashitaki unamshitaki Rai mwema Eti kwa sababu ana pesa?
 
nasikia wachina wanadizaini na kujenga nyumba hapa, mwenye fununu anipe contact zao ili niwasiliane nao jamanil
 
Back
Top Bottom