hbari ndgu zangu ni imani yangu mnaendlea vizuri na majukumu ya kujenga taifa. Naitwa paul mwakajila naishi ukonga daresalaam Nina miaka 23 kitaaluma ni muuguzi na ukunga (nursing and midwifery) ingawa mpaka sasa aina kazi, hata hvyo vyeti vyangu vya vyote vimeshikiliwa na uongozi wa chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.