Recent content by kygo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa mbaya Burundi, kambi ya jeshi yavamiwa na waasi

    Shetani yaani unamaanisha kazi anayofanyia nchi yake na watu Wake? Jamani kuweni na respect kwa wengine. Watu wote wanastahili heshima bila kujali mtu yukoje.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hali yazidi kuwa mbaya Burundi, kambi ya jeshi yavamiwa na waasi

    Sasa hapa Kagame na Rwanda vinaingiaje wakati hapa yanayoongelewa ni matatizo ya warundi. Mbana sijaona sehemu yoyote inasema kuwa Rwanda kuna matatizo. Inapwaswa kuzungumzia topic inayoongelewa.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wanyarwanda kumi pekee ndio wanaompinga Kagame

    Mkuu inaonyesha unapenda sana mambo ya Rwanda, maana kila nikipita hapa lazima nikute hayo mambo na wewe ndiyo mchangiaji mkubwa in a negative way. Kwanini? Mimi nauliza tu!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shirika la ujasusi wa Rwanda Jenerali Emmanuel Karenzi Karake, aachiliwa huru

    Ni kitu gani hicho walichokipata mkuu dadavua nasi tuelewe!!!!
  5. K

    JamiiForums Tanzania UK yapinga kesi ya mpelelezi mkuu Rwanda

    Nafikiri ya wanyarwanda tuwaachie wanyarwanda, na tujaribu kujenga na siyo kubomoa. Kila nchi ina maamuzi yake na kwa faida ya wananchi Wake. Na huwezi kupendwa na wote. Hapa naona chuki ambazo hazina msingi wowote.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je, addiction ya sigara unaweza ukarithi?

    Huwezi kurithi uvutaji wa sigara mkuu.
Back
Top Bottom