Recent content by kyalankota

  1. kyalankota

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Wakati uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ukitarajiwa kufanyika Mkoani Kigoma, Julai Mosi, 2024 imeelezwa uboreshaji utaanza siku hiyohiyo na kuendelea katika Mikoa ya Katavi na Tabora, ikifuatiwa na Kagera na Geita Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima...
  2. kyalankota

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Alikuwa anamjibu aliyesema kipaumbele ni kwa wanachama wa CCM
  3. kyalankota

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Hiyo kilaa mtu anajua uzinduzi tar 1 July lakini kuhusu lini majina yanatoka hakuna anayejua ni tetesi tu kila mtu ni kama anakisia
  4. kyalankota

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Hivi inamaanisha hiyo julai 1 ndio tarehe ya zoezi kuanza uandikishaji nchi nzima au litaanzia Kigoma then mikoa mingine?
  5. kyalankota

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Wazee wa fact [emoji3][emoji3][emoji3]
  6. kyalankota

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Sidhani kama anayo maana ye mwenyewe ni kama hana uhakika amesema anasikia tu
Back
Top Bottom