Recent content by Kyabashasa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vyuo vipi bora vya serikali kwa kusomea Diploma ya Clinical Medicine?

    Naomba kujua ni vyuo vipi bora vya serikali kwa kusoma diploma ya clinical medicine?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Clinical Officer anashindwa pata nafasi ya kujiendeleza kielimu

    Ana GPA ya ngapi diploma?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Chuo cha Afya Lugalo na Kibaha kipi kizuri zaidi?

    Hahahaaaaaaaa imakuwa kama ualimu? Unamaanisha ajira zake changamoto?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Chuo cha Afya Lugalo na Kibaha kipi kizuri zaidi?

    JamanI naomba ushauri Kati ya Chuo cha afya Lugalo na kibaha kipi kizuri zaidi cha kwenda make mdogo wang kapata hivyo vyote wamemuhita sasa kipi kizuri cha kwwnda? Na je, ada zao zipo sawa ama zinatofautiana? Diploma ya Clinical Medicine? Msaada tafadhali
  5. K

    JamiiForums Tanzania NTA levels

    Hapo sawa
  6. K

    JamiiForums Tanzania NTA levels

    Umeeleweka sana mkuu asante sasa swali linabaki kwenda degrees wanaangalia wapi wanaconsider level IPI?
  7. K

    JamiiForums Tanzania NTA levels

    Sidhani! Make ukiangalia kitabu chao cha TCU wamespesfy kabisa kwamba a minimum GPA of 3.0( NTA level 6) sasa ingekuwa average wacngefanya specification ya kuweka NTA level 6 kwa blackets
  8. K

    JamiiForums Tanzania NTA levels

    Kuhusu degree niliskia wanaangalia degree ya mwisho ile ya NTA 6 ndo nilickia hivo japo sina uhakika
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msaada NTA Level 5 Semester 1(Clinical medicine)

    Kwani highest GPA ya NTA level 4 ni 5 ama.4?
  10. K

    JamiiForums Tanzania NTA levels

    Jamani naomba kujua kuhusu diploma levels hizi wanaita NTA 4,5 na 6 naelewa 4 ni basic technician certificates 5 ni technician certificate na 6 ni ordinary diploma sasa swali langu je maximum GPA ni sawa kwa hizo levels kwamba zote zina maximum GPA ya 5? Ama kila NTA Ina maximum GPA yke?
Back
Top Bottom