Habari JF,
Nina dukuduku kutoka Mkoa wa Manyara kuhusu Shule ya Sekondari Endasak. Wahitimu wa Kidato cha Sita wa mwaka 2026 wanatakiwa kuchangia Sh100,000 kila mmoja kwa ajili ya gari.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni madai kwamba mwanafunzi asiyetoa mchango huo hazuiliwi tu kushiriki katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.