Nataka kutoa kazi ya kulipa kwa mwezi, nikazi ndogo tu na inatakiwa kufanyiwa internet: kazi yenyewe haihitaji ujuzi mwingi, ila atleast you should be able to write in English: Please this is not a scam, na hautakiwi kuinvest anything ni muda wako kidogo tu: Walio interested please send me your...