Kwani Yesu ni Muongo?
Mimi ninaamini Yesu ni mkweli hasemi uongo.
Yesu anakutambua wewe kuani MMBWA TENA NI BUBU.
Ndio masna akasema nikukatae maana wewe ni mzushi, umepotoka tena kwa mujibu wa Yesu wewe ni MMBWA. (USAYA, 56:9-12)
WEWE NI MMBWA NINAKUKATAA KWA AMRI YA MUNGU.
Mmi ni Muislamu...
WEWE NI MZUSHI. YESU KASEA HAKUA AJUAYE SIKU WALA SAA, WEWE UNAJUA KILA KITU, WEWE NI MZUSHI TENA UMEPOTOKA.
(TITO, 3:10-11)
10 Mtu aliye mzushi, baada ya kumwonya mara ya kwanza na mara ya pili, mkatae;
11 ukijua ya kuwa mtu kama huyo amepotoka, tena atenda dhambi, maana amejihukumu hatia...
Kama unajua kila kitu basi wewe ndo mungu mwenyewe maana Yesu yeye hajui kila kitu, wewe umemzidi hadi Yesu. Uko vizuri.
(Mathsyo 24:36) inathibitisha kua Yesu hajui kila kitu.
Wewe ni mzushi, na bibilia yako imenikataza kujibizana na mtu mzushi. (TITO,3:9-10) inaniamuru nikujatae, kwani wewe ni...
Huyo Yesu unaye mtegemea yeye mwenyewe anaenda Motoni kwa mujibu wa ninilia yako. (WAGALATIA 3:13) Kweli wachungaji wamekupoteza. Ulisikia wapi aliye laaniwa na Mungu anaenda uzima wa milele?
Muislamu kufa sio ishu, maana ili uingie peponi lazima ufe kwanza. Ila peooni haingii kafiri.
Tatizo lako wewe hauna elimu juu ya imani yako nwenyewe, ndio maana una chuki dhidi ya waislamu wenye dini ya kweli mbele ya Mungu.
QUR-AN, 3:67
67. Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.
Kuwa na chuki dhidi ya waislamu hakuta...
Ninaifahamu bibilia viziri, kwanza unatakiwa uekewe kwamba Bibilia sio kitabu cha Mungu. Yesu alifunuliwa INJILI na sio bibili, hakuna mtume/nabii yeyote duniani alifunuliwa bibilia
2) Katika bibilia kuanzia Mwanzo hadi Ufunuo, hata hilo neno tu "BIBILIA" halimo.
3) Ktk bibilia pia hakuna hata...
BASI NAKUTOA MASHAKA NA UISLAMU.
AYUBU, 4:5-6 Inasema...
5 Lakini sasa haya yamekufikilia wewe, nawe wafa moyo; Yamekugusa, nawe wafadhaika.
6 Je! Dini yako siyo mataraja yako, Na matumaini yako si huo uelekevu wa njia zako?
3:19, QUR-AN. DINI YA MUNGU NII HII, WEWE KAFIRI FUATA YA KWAKO...
Mambo ya Nyakati wa 2, 18:18-21, inasema
18 Mikaya akasema, Sikieni basi neno la Bwana; Nalimwona Bwana ameketi katika kiti chake cha enzi na jeshi lote la mbinguni wamesimama mkono wake wa kuume na wa kushoto.
19 Bwana akasema, Ni nani atakayemdanganya Ahabu mfalme wa Israeli, ili akwee...
Sikia we kafiri. Ili uwe muislamu ni lazima uamini vitabu vya Mungu na Mitume wa Mungu pia waislamu tunamuamini Yesu kua ni Mtume wa Mungu, ni mtoto wa kiume wa bikira Mariyam na ametahiriwa nangariba kama nilivyo tahiriwa mimi. Wewe una shida gani na uislamu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.