Wanajamvi wasalaam,
Mimi ni kijana, mkulima mdogo wa matunda na mbogamboga, ninapambana na hali yangu yenye changamoto lukuki. Moja ya changamoto kubwa inayonielemea ni kuhusiana na soko la hizi bidhaa ninazozizalisha, mara zote nimefika karibu na kukata tamaa kwani sijapata bado yale mafanikio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.