Recent content by Kwangunyumbani

  1. K

    Ujenzi gorofa na utaratibu wa mipaka

    Shida ya hii forum ni kwamba imejaa millenials na generation z wengi mno, labda hapo baadae watu wazima wengine humu ndani wenye mwelewano wa protocols na sheria za hapa na pale watapata nafasi ya kunipa mawazo yenye maana, kwa sasa nisitegemee hii forum ni utani tu naona. Inasikitika kuwa mpaka...
  2. K

    Ujenzi gorofa na utaratibu wa mipaka

    Asante kwa wazo lako. Huyu ni mchina, haitaji sapoti na wala hajitokezi kujumuika kijamii. Ningependa kufahamu na kuelewa kisheria hapa Tanzania tuna rights gani kama jirani anajenga ovyo?
  3. K

    Ujenzi gorofa na utaratibu wa mipaka

    Nilidhania hii forum inachukulia maanani hoja na kutoa mawazo yenye umaana na ujuzi. Kuchekana na kuleteana dharau sikutegemea humu ndani. Eneo nnalozungumzia sio kariakoo, ni residential area ambayo siku hizi imepewa ubiashara kidogo. Kama hauna jibu ya swali langu, naomba usijaze hapa...
  4. K

    Ujenzi gorofa na utaratibu wa mipaka

    Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking. Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha. Hii sheria inatokea wapi? Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia...
Back
Top Bottom