Recent content by kwandikwa

  1. kwandikwa

    Mbeya: Uzembe wa Hospitali ya Rufaa Kanda umesababisha kifo cha binti huyu

    Habari ya wakati huu? Poleni kwa familia, ndugu jamaa na marafiki, lakini kuna maswali ya uelewa tu, ninachofahamu ni kwamba damu hainunuliwi na huwa tu kinachotozwa ni kipimo cha kuwianisha damu ya mgonjwa na damu iliyopo maabara ili damu atakayoongezewa isilete shida kwa mgonjwa. Lakini pia...
  2. kwandikwa

    Mitihani ya post intern kada ya udaktari(baada ya mafunzo tarajali), baraza haliwaamini wanachama wake?

    Unafikiri watu Kama sisi by that time tulikuwepo? Hata Kama tulikuwepo je tulikuwa tushajiunga na kozi hizi? Mm binafsi siwezi kuzungumzia kitu nisichokifahamu, so nimezungumza now kwa sababu Ni kitu ambacho nimekiona na kukifaham kwa undani zaidi!
  3. kwandikwa

    Mitihani ya post intern kada ya udaktari(baada ya mafunzo tarajali), baraza haliwaamini wanachama wake?

    Tatizo siyo ulaya na humo kwingne wanafanya au kada zingne wanafanya, ingekuwa hiyo ndiyo sababu ya msingi tungetangaza na sisi Kuwa Kuna covid19, na tufunge mipaka na lockdown zngne! Anyway tuachane na hayo, lkn hoja hpa ya msingi Ni kwamba unafkr kada ya udaktari Ni sawa na kada zingne? Kwamba...
  4. kwandikwa

    Mitihani ya post intern kada ya udaktari(baada ya mafunzo tarajali), baraza haliwaamini wanachama wake?

    SERIKALI TAZAMENI KWA UNDANI SUALA HILI: Tusaidieni tafsiri ya sheria hizi. 1. "The Medical, Dental and Allied Professionals Act, No. 11 of 2017" 2. "The Medical, Dental and Allied Professionals (Internship) Regulations, 2018". 3. "The Medical, Dental and Allied Professionals (Inquiry)...
  5. kwandikwa

    Nadharia zinawafanya wahitimu wa udaktari waogope kushika damu

    Nafikiri tatizo ni MCT wenyewe, maana wanashindwa kusimamia ubora wa wanafunzi wakiwa vyuoni, leo kuna sheria inawataka wahitimu wa udaktari kufanya mitihani ya Pre-internship na Post-internship na ili mtu aweze kupewa leseni, mtihani wenyewe Ni MCQs, Sasa hapo unataka u-prove vp kuwa huyu mtu...
Back
Top Bottom