Recent content by kwamekwax

  1. K

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Mkuu Habari Mkuu malizni nimeona tff imetoa kamati na majina ya wajumbe ok ni sawa Il mbona naona kamati za tff zimekuwa nyingi na wajumbe wa hizo kamati wengi . hii uoni kama inakuwa mzigo mkubwa kwa tff hasa kwenye malipo ya wajumbe kwenye vikao na shughuli zingine uoni umuhimu wa kupunguza...
  2. K

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    Mkuu malizni habari Ok asante kwa majibu yakoAnyway nimempa kijana GEORGE MTEMAHANJI namba yako pamoja na e mail yako so nazani atawasiliana na wewe katika wiki chache zijazo, He has a lot of things to talk with you please Mpe support na positive response mr presidentOtherwise Nakutakia kazi njema
  3. K

    Maswali na ushauri kwa Malinzi

    MKUU MALINZI VIPI KUHUSU ITC YA GEORGE MTEMAHANJI tangu mwaka jana mpaka leo kimya ameshindwa kujiunga na timu na kuanza kucheza mpira ITALY na USWISSI, Vipi mkuu au ndio mpaka ailipie hapo TFF ndio atapewa ITC
Back
Top Bottom