Recent content by KusufuriaMakoko

  1. K

    Simba Sc naiona ikishinda mapema sana kwa formation hii 4:3:3

    Kwa kweli hata mimi sijaelewaga Chama kutokea pembeni halafu Saido katikati[emoji1751][emoji1751]
  2. K

    Kuelekea AFCON 2027, JWTZ mna eneo zuri pale Nyegezi kona mnaweza kujenga uwanja mzuri wa mpira

    Wazo zuri. Je, eneo hilo lina ukubwa wa kutosheleza ujenzi wa miundombinu yote muhimu ya uwanja wa kisasa?
  3. K

    Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

    Dah! Kwa ulichoandika hapa, wewe ni wa kusikitikiwa, siyo wa kutukanwa.
  4. K

    Ni Yanga tu: Haijawahi tokea timu kufikisha point 13

    Hii ni CAF Champions League. Mleta uzi atuambie yeye timu yake imefikisha points hizo katika mashindano gani?
  5. K

    Lini Simba itafikia ubora wa Yanga Ligi Kuu? Kocha aondoke/abaki?

    Mojawapo kati ya hatua muhimu za kuchukua ni kusukumia mbali mashabiki wenye attitude kama yako.
  6. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Pole sana mkuu
  7. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Jamaa alitoka kabla ya mpira
  8. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Glasi ya maji bariiiiidi
  9. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Siyo idadi ya shots
  10. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Changamoto sana
  11. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Labda utusaidie wewe uliyesema timu ni nzuri kwa kuwa tuna shots nyingi
  12. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Lakini wametunyima clear penalty
  13. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Hapana, ilikuwa offside [emoji38][emoji38][emoji38]
  14. K

    Tumeshinda lakini tunaogopa

    Shots 16 goal 1, huoni kwamba safu ya ushambuliaji inahitaji makali zaidi?
Back
Top Bottom