Haya njoo uchukue TECNO P3 mpyaaaaaa ( imetumika kwa miezi miwili tu. Ila kwenye hiyo laki yako inabidi uonheze 10,000
google specifications zake then nitwangie hapa 0715553166 ( nipo Dar, Mikocheni )
habari wakuu.
Nahitaji niwe naprint t.shirt. Zamani nilikuwa natumia X-Ray. Yani unaichonga arafu unaiweka kwenye T.shirt arafu unachukua sponji unachovya kwenye rangi kisha unaprint juu ya ile x ray.
Sasa najua ipo ile njia ambayo unatumia kitambaa ( Screen ). Je, njia hii inahitaji vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.