Recent content by Kungarochi

  1. K

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Sema yale magaidi ya Hamas ni jihadi kweli kweli inabidi uwe na roho ngumu kama jiwe kupambana nayo. Ogopa sana kupigana na jitu lisilogopa kufa 🤣.
  2. K

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Kupigana na gaidi inabidi na ww ugeuke Gaidi. Nikupe tu za ukwl IDF wangeamua waende kigaidi gaidi, Gaza ilikuwa inafutwa ndani ya week tu. Ndo maana unaona wanapoamua kuwa aggressive Dunia nzima inaanza kulia. Kama unataka nao IDF waende kigaidi bila kujali Casualties za civilians waruhusini...
  3. K

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Ndo kusema Hamas hana chake tena pale Gaza. IDF wapiga picha ya pamoja wakiwa ndani ya Bunge la serikali ya kijihad ya Hamas. Kweli mwaka huu israel mtoa roho kakamia.
  4. K

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Nilikuwa nawadharau wanamgambo wa Hamas, nimewavulia kofia maana wanawaua kweli hawa wanajeshi wa Israel. Sijui waliingia bila mafunzo au wamekurupuka maana siyo kwa kupukutika uko. Hata wakishinda watakuwa wamepata hasara kubwa sana na sijui kama watashinda hii vita maana naona kama Israel...
  5. K

    Kinachotetewa ni Nchi Takatifu Ezekiel 34:29, kwamba Israel hii ya Leo ni Taifa Takatifu hilo linahitaji Mjadala tulivu!

    Nabii fake mbakaji angzaliwa tanzania angefungwa miaka 30 kwa kubaka mtt mdogo wa miaka 9. Na wayahudi walimkataa wakamwambia nabii gani ww hatukujui.
  6. K

    Hawa Hamas ni Mgambo kama walivyo Mgambo wa Jiji Hapa Tanzania? Au ni Jeshi kamili maana Wametisha sana!

    Ukibishana na wala tende utateseka ndugu vichwa maji. Israel anakuwa limited kupiga jwa sababu anayepigana naye kajichanganya na raia. Wangeamua kuuwasha moto kuangamiza kila kitu the story was over.
  7. K

    Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

    Wapo waliobaki hata kipindi zionist movements inaanzishwa waliwakuta wayahudi wenyeji ndo waliwapokea wayahudi wenzao kutoka uko sehem zngine. Acha kuongopewa watu hakuna connection yyt kati ya mwafrika na waisrael endeleeni kujidanganya. Pamoja na kusambaa duniani kote wairael wameweza...
  8. K

    Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

    Muongo acha kuongopea watu wayahudi hata baada ya kutawanyika dunia wapo walioendelea kuishi pale sasa mbn hakuna jamii ya watu weusi pale middle east acha ulongo
  9. K

    Askari wa Israel wavua magwanda,wakimbia wakiacha wenzao waungue kwenye kifaru

    Israel hana muda wa kutaja magaidi wamekufa wangapi yeye akiua kiongozi/kamanda ndo anatangaza kama unafatilia hzi ishu. Yaan israel na akili zao wakae chini wa draft tumeua magaidi wangap huwo muda hawan ila wakiua kiongozi wa kitengo fulani ndo wanatangaza.
  10. K

    Hospitali ya Al Shifa ndio eneo la mwisho la mapigano

    Yakobo wapi aliposemwa ni mweusi mbn swali simple nataka unionyeshe huwo mstari.
  11. K

    Kiongozi wa Hisbullah aongea kuhusu kuivamia Tele Aviv

    Ni swala la muda wanamvutia kasi tu
Back
Top Bottom