Naombeni msaada wana jamii forum.
Kuna mwimbaji mmoja wa nyimbo za injili aliimba wimbo akitaja majina ya Mungu na maana yake. Kama kuna mtu anamfahamu naomba anisaidie jina lake. Ni mwanaume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.