Sasa swali ambalo najiuliza,ni kwanini baada ya Bunny Wailer na Peter Tosh kujiondoa kundini,mbona Bob Marley aliendelea kulitumia jina la The Wailers huku akiwa na waimbaji wengine kama Rita (mkewe),Juddy Mowatt na Marcia Griffith (I Threes) wakati waanzilishi walijitoa?
Sababu za kwanini The Wailers ilikufa nadhani imefafanuliwa katika documentary ya Bob Marley ambayo Bunny Wailer alieleza kuwa Chriss Blackwell alikuwa anawa-expose kwenye mambo ambayo ni kinyume na imani ya kirastafari ikiwa ni pamoja na kuandaa matamasha katika clubs.Lakini pia Peter Tosh...
Hahahaaa,nasikiliza kwa bahati mbaya tu kwenye mikusanyiko ya watu ambayo si rahisi kuikwepa.Sijawahi kuvutiwa na sioni ikitokea nikapenda hii miziki ya akina Diamond and the likes
Umezungumza kweli kabisa.Yaani ukisikiliza wimbo wa Harmonize idea ni ileile kama ya Diamond,melody ni hiyohiyo,beat ni hiyohiyo,cha ajabu zinavuma.Tupo kwenye kizazi cha ajabu sana.Wasanii wengi hawako real,maisha ya kuigiza.Fikiria the wailers pamoja na mafanikio makubwa ya muziki wao lakini...
Aisee bro,hawa jamaa (wailers) walikuwa na akili sana,japo hawakuwa na elimu kubwa lakini uwezo wao wa kufikiri ulikuwa mkubwa saaaaaana.Nimeusikiliza huu wimbo wa Here Comes The Judge wa Tosh daah,hii idea ya kipekee sana.
Silence in the court
The court is in the session
Hahaaaa,sijui kwanini...
Kumbe ni mpenda vitabu kama mimi,basi tuko pamoja hakika!naamini uki-search unakipata.Kuna kingine kinaitwa Marley And Me,nimemsahau mwandishi,jaribu pia kukitafuta na hicho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.