Kwa anayefaham, vyuo vitatoa lin majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo ivyo kwa mwaka 2017/2018? Nawatakia cku njema wanaJF wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan wadau, nimeambiwa kuwa majina ya wanafunzi waliokosea maombi ya mkopo yametolewa na loan board ila najarbu kutafuta siyapati, kwa anayefahamu zaidi naomba msaada kwa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.