Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua.
Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali...
Lucas Lucas Lucas
Kwani huna washauri ndugu? Huoni kuwa unaidhalolisha CCM na Rais mwenyewe? Yani wewe ndio unawasilisha akili za vijana wa CCM? Unachokifanya is very low
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.