Recent content by kulw

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wa elimu ya juu, ujumbe wenu huu hapa

    Wewe ni mjinga sana(huelewi unachosema), nyie ndio mnafikiri wasomi wote wana iphone na hawajitumi kwa kuangalia vijana wachache wa huko dar. Kiukwel vijana wanajituma sana, tatizo ni mifumo mibovu ya elimu. Hata kwenye utafutaji pia vikwazo ni vingi sana kwa kijana kujikwamua. Hebu toka hapo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Ahsante kwa mchango wako Simba. Nitarejea njuzi za nyuma nione hizo njia za kumuita jini. Nitaleta mrejesho kwa chochote kitakachotokea.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Ahsante kwa swali lako Simba. Jibu: 1. Kwanza Mimi nina mke na mtoto mmoja wa kike. Naweza kusema niliyemuota ni jini kwa sababu nimeota ndoto ya mtu ambae simfahamu kabisa, kwenye ndoto nilikuwa naona sura ya huyo mwanamke kwa kufifia sana na hata mtoto wa kiume niliyemuota nae sura yeke...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

    Habari; Naomba kuuliza haya maswali 1.Nimeota ndoto ninafunga ndoa na jini, je ndoto kama hizi zina uhalisia??? 2. Baada ya kuota ndoto hiyo nilishtuka kutoka usingizini lakini haikuchukua muda usingizi ukanipata nikaota tena nipo mahali fulani natambulishwa mtoto wa kiume niliyezaa na jini...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tumia Hizi Njia 2 Kutafuta Na Kumiliki Ardhi Kwa Bei Nafuu Mahali Popote

    Kuweni makini sasa hivi kuna mtu atalizwa hapa.
Back
Top Bottom