Recent content by Kulimakulya

  1. K

    JamiiForums HOJA Haki za Wanyama zizingatiwe katika soko la machinjio ya Vingunguti, wanawekwa kwenye jua kali sana

    Wananchi tunatoa wito kwa wahusika wa Machinjio ya Soko la Vingunguti kuzingatia ustawi na haki za wanyama wanaoletwa kuchinjwa. Mbuzi na Kondoo wamekuwa wakiwekwa nje ya ukuta wa machinjio bila sehemu ya kujikinga na jua kali, hali inayoweza kuhatarisha afya na ustawi wao. Wanaiomba mamlaka...
Back
Top Bottom