:shut-mouth:Kam serikali ikikubali mahakama ya kadhi na tz kujiunga na OIC basi wakubali na kuanzisha mahakama za binafsi (private courts) kwa manufaa ya watu wasio na imani na serikali yao na wachache wasioamini katika mungu! Jamani ya ngoswe si aachiwe ngoswe? mahakama ya kadhi inamfaidi nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.