Recent content by kubwaj

  1. K

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa mwalimu wa Computer Mafinga

    Je ni mwenyeuwezo wakufundisha tu au kuna level flani ya elimu mmeikusudia?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wanatafutwa wa dada wa ku serve kwenye newly established pub.

    Jaman nafkri tutumie vizuri hii site coz unapotoa tangazo halafu kumbe unamambo mengine inakuwa co poa coz humu ndani kuna watu tofauti tofauti so tuwe makin kidogo.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya IT

    Habari wana JF? Naombeni msaada natafuta kazi inayohusiana na IT,nina kadiploma cha IT naona kanaelekea kuozea home.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msichana anayejua Computer anatakiwa

    Najua,mawasiliano.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msichana anayejua Computer anatakiwa

    Mimi najua na nipo mabibo.Mawasiliano
Back
Top Bottom