Recent content by ksjdhhehbdb

  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Magufuli ina changamoto kubwa ya ukosefu wa maelekezo na mifumo bora ya kuwaongoza abiria

    Ukiingia katika Stendi ya Magufuli unakutana na changamoto kubwa ya ukosefu wa maelekezo na mifumo bora ya kuwaongoza abiria. Hakuna mabango au michoro ya kuelekeza watu wanapofika, hivyo inakuwa vigumu kujua sehemu ya kukatia tiketi, jengo la abiria lilipo au maeneo muhimu ndani ya stendi...
Back
Top Bottom