Kuhusu NSSF Kaimu wake kutenguliwa baada ya kuteuliwa.Waziri amesema kwamba taratibu hazijakamilika na suala hapa si uraia.Tukianza kusema uraia ndo mwanzo wa ubaguzi.Dr.Carina ni Mtanzania kwa maana ameolewa na Mtanzania, kwa hiyo si mganda kwa sasa .Hata hivyo muda mwingi amekuwa akilitumikia...
Mwizi anafahamu mbinu mbalimbali wezi wenzie wanazotumia,nadhani kwa kuwa yeye alishajipambanua kuwa ni joka la makengeza, basi atatumia ujoka wake kubaini wezi wa vijisenti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.