Recent content by kovai tamil taiga

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Loemba, Duchu na Selemani Mwalimu.! Mmepigaje pale.

    Dah, La 4 teyari Chobwedo leo hayupo huko.?
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Loemba, Duchu na Selemani Mwalimu.! Mmepigaje pale.

    Duchu ndio kusema alikuwa anawasubiri Loemba na Gomez ili tu...awasaidie goli Lao walilokuwa wameliplani walipokuwa pale nje....Goli walilokuwa wamelichora..! Salute kwao goli La tatu ...Loemba ..Duchu ....Selee.! SSC 3 - 0 TRA. Dk 72..
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dodoma Jiji VS Simba Sports Club Jamhuri Stadium 22/2/2026.

    Mpeni tu Maua yake aliyeamua hili gemu lipigwe muda huu...! Imagine Yanga Kashindwa kuvuka makundi, rekodi ya Mwakarobo CL ni ya Mnyama tu Tanzania Yote..... Halafu sasa, Halftime ana bao mbili... Yaani Bia inashuka yenyewe kwenye koo tartiiiiib.... Kweli lile balaa la Oct 29 unasahau kbs...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: KMC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | KMC Complex | Februari 11,2026 | Saa 1:00 Jioni

    Sako La nyani linaendelea..
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Ukiiona tu Wewe ni bingwa sehemu, halafu Kwenye rank upo chini ujue Wewe Umebahatisha ubingwa.. Wababe umeshindwa kuwatoa hapo juu. Mafanikio ni neno Lenye tafsiri mtambuka... Kuna timu Zikitimiza malengo yake ni mafanikio,Mfano Yanga imeweka Lengo kuingia makundi. Kufeli hapo ni ikishindwa...
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muondoeni Julio timu ya taifa, hafai hafai kabisa

    Ama hakika nabii Huwa hakubaliki kwao........! Kwa issue ya Uzoefu wala hatuna shaka...! Kwani Vyeti vyao vya Ukocha havitoshei? Au hawana Vyeti?
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    SIFA Moja Wababe Huwa hawakai chini Kwenye ranking.
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Tano bora Kwa Kipindi hiki Cha Sasa..hapo vipi? Raha sana kuwa mmojawapo Wa Wababe Wa Soka watano Bora bara Zima La Afrika. Kombe La kahawa la NBC chukueni x50 Goli Tano zipi katika historia... Zile za 5 - 0 za Emanuel Okwi au zile 5 - 1 za Pacome?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Ipo timu inajiita kubwa... Yanga Haijawahi kushika Tano bora.. Hii ni fact, ubishi unatokea Wapi? Zipo timu nyingi zimeshawahi kutwaa ubingwa Wa Tanzania, hii pia ni fact. Ukubali ukatae Lkn ndo hivyo
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Ila Watu.... ni wachokonozi Support ya uzinduzi wa Kampeni za Siasa na issue ya 'hatuchezi' zimekuwa connected na kutofika Kwenye Tano bora kiviipi?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jezi mpya Yanga ni bora lakini shingo ni mbovu, sio rafiki kwa shingo.

    Kapicha tafadhari ka hako kashingo kanakokera basi...! Sie tutaaminije?
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC kucheza mechi kubwa 2 pre-season Misri

    Upande Wa Pili.... Yanga kukipiga na Kimbiji Kombaini pre season.! Kigamboni mechi za Kimataifa uzitoe Wapi?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot For Sale at Kigamboni Kisarawe 2

    Tangazo Kubwa Sana hili....! Hapa nilidhani ni matangazo Madogo Madogo.! Anyway,wanakuja..
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

    Mzize ndo mchezaji wetu tegemeo mnategemea timu iende Wapi?
Back
Top Bottom