Duniani matajiri waislam.
Achana na duniani hapa hapa Tanzania matajiri wakubwa waislam.
Nitajie matajiri wakristo kuzidi kina Asas, GSM,Bakhresa,mo dewji!?
Duniani kuna Saudi Arabia,UAE,Kuwait,Bahrain,Malaysia, Indonesia,Brunei,Oman,Jordan n.k n.k. Hizo nchi ninyi mnazifikia kwa maokoto...