Recent content by KOROE

  1. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    2022-2024, kuna vitu kimetokea very interesting. Kumbe yule jamaa aliyetembea naye aliyekuwa anataka na side B alikuwa HIV+. Na km mnakumbuka tang nigundue kwamba simuelew elewi sikuwahi kulala naye tena, so nipo salama kbs sina VVU.. Ilikuwaje nimejua? Nani alinambia? Kuna mambo yalitokea hapa...
  2. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Huyu binti kuna mengi yamepita, ila kifupi tu nilifanikiwa kuruka mtego wake na sikulala naye. Japo haikuwa rahisi, ila NILIMHIBITI vilivyo. Ni hivyo Mkuu.
  3. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Sijampata, na wala sio kipaumbele.
  4. K

    Ukifika miaka 30 unaweza kuwapata wanawake wengi lakini huna muda nao sana kama ilivyokuwa kabla ya 30

    Usilale na mwanamke ambaye huna nia ya kumuoa, na km ikibidi hivyo mwambie ukweli kwamba hutomuoa unapita tu.
  5. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Bado najiona nipo sahihi hadi leo, anyway maisha yanaendelea.
  6. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Cockroach... possibly upo below 20 years,
  7. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Wanaongea ongea kwamb mim sijafanya sawa ni mabinti, hawajui maumivu, hasira na uchungu wa demu wako unayempenda na kumpa thaman ya juu kugongwa alafu ukajua, watu huwa wanaua mbona mim kwa nilichokifanya hiki kdg sana, nafaa kupewa Ushemasi kbs
  8. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Possible tukawa tuna undugu mkuu, huwa nashangaa rafiki zangu wanavyopapalikia mbususu, Yaani mtu ana demu kila chuo mjini hapa, na bado maofisin humo, baa huko ndo usiseme, huwa nawangaa sana,mimi mbunye sio basic need kwangu na mwanamke hata sijui anitege km simtaki au sijapanga kumla simli...
  9. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Shenzii, aya uwe unaimba kwaya, unajulikana ni mlokole, kanisan kwako wanakuamini na wazazi wako wanajua wew ni zaid ya malaika ungejibu hivyo?? ulivyokuwa na akili fupi unadhan mim hamnazo, kila kitu kilikuwa calculated, na km angekuwa mwanamke gume gume km wew ningedili kwa namna nyingine...
  10. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Naruhusu kuadhibiwa, na siwezi kulaumu nikiadhibiwa kwa kosa linatokana na uzembe wangu
  11. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Mwanamke ambaye namuwekea si chini ya laki 2 kila wiki, hiyo sio ya kula wala mavazi, ni vocha na matumizi yake binafsi, gari yake muda wote ina mafuta, nikamfanya kuwa Malkia kuliko mama angu mzazi, anatokea mama mmoja humu anasema mimi katili, katili gani duniani anaweza kufanya mambo km haya...
  12. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Hivi ndivyo mwanaume anavyotakiwa kuwa, msimamo thabiti, hata ikibidi kufa, ni sawa tu. Tembea humo Mkuu achana na hawa wamama.
  13. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Nina shida moja katika maisha yangu, nayo kuwa tayari kupokea ninachostahili, kuna kosa nililifanya kwenye project moja hivi ikanisababishia nipoteze mamilioni ya pesa wala sikwenda kuomba msamaha wala kubargain nilipoteza ile fedha, namimi huwa nampa mtu anachostahili lakin natahadharisha...
  14. K

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Nimegundua kupitia comment wengi humu si waaminifu, mnapenda sana kusamehewa mkijiwekea kinga mkikosea nanyinyi msamehewe, ukikosea utalipia na ndo kanuni ya maisha ilivyo, kabla sijafanya lolote nilimtahadharisha huyu binti, wala haikuwa surprise kwa kilichotokea, alafu mbaya zaidi kuna wanaume...
Back
Top Bottom