Recent content by Kompyuta

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dell cpu for sale

    Samahani wakuu picha imekataa na kidogo nipo bize lakini model ni gx280 Tower . Unaweza hata ukaniPM kama uko interested lakini best option ni kupiga hiyo nambahapo juu. Asanteni
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dell cpu for sale

    CPU za dell zipo zaidi ya hamsini zinauzwa lakini zipo zanzibar USED, zinafanya kazi. Hard disc 40. Ram 512. Bei ni laki moja kwa kila CPU. Pia zipo monitors kabila tofauti bei ni elfu 80 kwa moja. Kama upo interested piga namba hii 0772692224. Model ya CPU ni hii hapa
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maelezo

    Wakuu hamna mwenye information yoyote ya hizi gari?natanguliza shukrani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maelezo

    Habari zenu wakuu? Nilikuwa naomba kuulizia soko la gari pick up crew cab (double cabin) za Mitsubishi L200. Soko lake likoje Tanzania na bei zake zinazunguka ngapi? nazungumzia miaka kuanzia 94 - 2003. Please mwenye kujua anijuze. Nawashkuru sana in advance.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Fuso For Sale.

    Wakuu gari bado ipo na maongezi ya kibiashara yanakaribishwa . Gari ni Mjapan mwenyewe kabisa. Shukran
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Fuso For Sale.

    Wakuu pia kama una maongezi zaidi unaweza ukaniPM kama utaona usumbufu kupiga hiyo namba, gari lipo bado. Asanteni
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Fuso For Sale.

    Duh samahani kaka nilidhani nimeiweka. Ni milioni 30 mkuu. Samahani kwa usumbufu.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi Fuso For Sale.

    Mitsubishi Fuso Mwaka 93, engine 6D14, tonne 7, ina tipper (tipping gear), ipo Zanzibar na imeshalipiwa kila kitu. Imeingia nchini karibuni na haijatumika. Engine ipo fresh sana, nenda ukaione na fundi unaemuamini kabisa. Kama upo interested contact number ni hii 0772692224. Bei ni milioni 30...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

    Wakuu hii gari tayari imeshauzwa kwa wale walioniPM nawanaoendelea kuniPM , asanteni kwa kuonesha interest. Labda kwa sasa ninayo Mitsubishi Fuso, nitaweka picha karibuni bei ni Milioni 30 na ipo kule kule Zanzibar, imeingia nchini na haijatumika tangu iingie nchini. Nawashukuru sana
  10. K

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

    Wakuu hii gari bado ipo na kutokana na waliokuja kuomba kwamba ushuru wa kuvusha umepanda niipunguze, nimeamua kuipunguza bei mpaka milioni 15, lakini hiyo itakuwa bei ya mwisho kwavile wateja wa chini ya hapo tayari ninao ila haitonilipa. Ambaye yupo interested apige namba ya hapo juu au hata...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

    Mkuu labda aliepiga picha ni setting mbovu ya camera yake tu (aliepiga hizo picha sio mimi binafsi) lakini paperworks zote za gari kuingia nchini zipo na kama za bongo huziamini hata za nje ya nchi zipo ukizihitajia. niko honest sana kwa hili wala ondoa shaka mheshimiwa. Asante sana kwa concern...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

    Wakuu nakumbushia tu kwamba gari bado ipo na maelewano yapo kwa yoyote ambae yupo interested just PM me au tumia number niliyoweka kwenye bandiko. Natanguliza shukrani zangu na nawashukuru sana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

    Waheshimiwa tayari thread imekuwa updated kwa picha na Gari bado ipo na maelewano pia yapo kwa anaeihitaji. Mnakaribishwa.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

    Wakuu tayari nimeweka picha ingawa imebidi nimtumie jamaa tu kwavile mwenyewe niko safarini lakini nadhani itakuwa imekidhi haja japo kidogo. Asanteni sana
  15. K

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux Crew (Double cabin) For Sale

    Imetengenezwa mwaka 92 mkuu
Back
Top Bottom