Recent content by Komeo

  1. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Ngoja niwatafutie clip nyingine ya mgombea, ambayo pia ni very controversial. Makamanda andaeni tu povu la kutosha.
  2. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Mkuu, "makamanda" hawataki kusikia hili, wao wanataka wasisikie mtu akimkumbusha chochote mgombea wetu kuhusu chochote kwakuwa nadhani anayo hati miliki ya kutushikia akili na kuongea utumbo kwa niaba yetu. Na sasa goli linahamishwa au wanakanusha kilichoongewa mjengoni. Sitashangaa pia kusikia...
  3. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Mkuu watu wameamua kuhifadhi mapovu ya kutosha, maana wanaona inawasaidia.
  4. Komeo

    CHADEMA ni sikio la kufa? Iambiwe vipi ili isikie? Masha ana hoja za msingi, zisikilizwe, zizingatiwe, zisipuuzwe!

    Pascal, watu wa siku hizi hawajishughulishi kujibu hoja, badala yake wamechagua kuja na povu tu maana hakuna namna sasa.
  5. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Bahati nzuri Mheshimiwa sana Halima Mdee ametaja hadi mwaka. Sasa naona watu wanatoa povu kwa kufuata mkumbo bila kusikiliza hata video clip yenyewe. Sijui tatizo ni bundle la kuicheza video hiyo, au sijui ni nini. Maana naona sisi tuliokuwa nje ya Bunge sasa tumeanza kukanusha hata ushahidi wa...
  6. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Au tumfutie kauli mgombea. Hilo pia linawezekana tu.
  7. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Mkuu, siwezi kuweka maneno mdomoni kwa mtu. Kwenye video clip hiyo mgombea hakuitaja Chato. Sasa kama umeamua kumuwekea maneo hayo kupitia clip yake mwenyewe, basi ni wewe. Ila mimi nimeamua kuchanganya na zangu na jibu lake nabaki nalo mwenyewe kwakuwa sio lazima jibu langu lifanane na lako Mkuu.
  8. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Yes, ndio hilo hilo ambalo mgombea wetu anadai hoja haikupita mule, na wabunge wote hawajui.
  9. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Mkuu. Fungua video clip hiyo na umsikilize kwa makini Mheshimiwa Halima Mdee maana ametaja hadi mwaka uliopita wakati akichangia hoja hiyo ya ununuzi wa ndege. Jibu liko wazi humo.
  10. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Mkuu, Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi imehamishiwa ofisi ya Rais?
  11. Komeo

    Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

    Mkuu, ni lile Bunge ambalo Mheshimiwa Mdee alikuwa mbunge mmojawapo.
Back
Top Bottom