Habari zenu wana jf naombeni ushari wenu mimi naishi england nimeamua kuja tanzania kutafuta freme nakuleta bidhaa za used kama flat screen tv.ma freezer navitu mbalimbali vya eletronic je munanishauri vipi juu yahiyo biashara inaweza kunitoa kwahapo dar.asanteni sana
kaka mzigo nachukua england napakia mzigo mzuri sana ila tatizo kwamba faida inakua haipatikani, ila nimefikiria hata kufungua supermarket kwani uk vitu naweza kupata rahisi nikachanganya na vitu vya dubai
habari zenu ndugu zangu pamoja na kaka zangu. mimi nikijana wakitanzania ambae naishi nje ya nchi ila nimechoka kuishi huku nakufanya kazi nimejaribu kufanya biashara yakuleta eletronic used kama tv plasma.ma freezer na kila kitu cha eletronic nimewatumia wadogo zangu 40 fit conntener kama mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.